Rais Samia ahimiza umuhimu wa majadiliano katika demokrasia
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Tanzania afungua mkutano wa wadau wa demokrasia unaowakutanisha viongozi wa kisiasa na wadau wengine nchini akieleza umuhimu wa majadiliano katika demokrasia.