Rais Biden: Tuko tayari kutoa dola milioni 500 kuzisaidia nchi za Afrika kuzuia... Mpox

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden akihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne akisema Marekani iko tayari kulisaidia Bara la Afrika kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa Mpox.⁣