Rais Biden aahidi dola bilioni 4 kwa ajili ya kusaidia nchi maskini

Your browser doesn’t support HTML5

Akihutubia mkutano wa mwsho wa G20 Rais wa Marekani ametoa ahadi ya dola bilioni 4 kwa ajili ya msaada kwa nchi maskini.

Russia yakosolewa kwa kuweka kura ya turufu huko Sudan dhidi ya ulinzi wa raia.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari