Raia wa Msumbiji washiriki katika zoezi la kupiga kura kumchagua rais

Your browser doesn’t support HTML5

Raia wa Msumbiji washiriki katika zoezi la kupiga kura za urais leo huku chama tawala kikiwa na nafasi ya juu ya kupata ushindi.

Seneti ya Kenya inatarajiwa kufanya mjadala wiki ijayo ili kuchukua maamuzi ya bunge ya kutaka kumuondoa madarakani naibu rais.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari