Shirika la Kiserikali la Ustawi wa nchi za Mashariki mwa Afrika, IGAD, linasema watu milioni 50 wanaukosefu wa chakula. Endelea kusikiliza mahojiano maalum kuhusu ufumbuzi wa hali hiyo ambayo inatishia uhai wa watu.
Profesa Namwamba atoa mbinu za kukabiliana na uhaba wa chakula Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Profesa Fullbert Namwamba mtaalam wa sayansi na jiolojia nchini Marekani anashauri kwamba nchi za Pembe ya Afrika ni lazima zijipange katika kukabiliana na uhaba wa chakula.