Rais wa Burundi azindua kampeni
Rais Pierre Nkurunziza akizindua kampeni yake Alhamisi katika jimbo la Kirundo.
Akiwa mbele ya maelfu ya watu katika jimbo la Kirundo Rais Pierre Nkurunziza azindua kampeni yake kaskazini mwa nchi.
Rais Pierre Nkurunziza akipungia watu wakati wa uzinduzi wa kampeni yake.
Presida Pierre Nkurunziza yatanguye kur'uyu wa kane kwiyamamariza kwitoreza ikindi kiringo muntara ya Kirundo yo mu buraruko bw'Uburundi.