VIDEO: Wiki yenye joto kali la kisiasa Marekani

Mgombea wa urais wa chama cha Dempocratic, Hillary Clinton na yule wa chama cha Republican, Donald Trump wanasalimiana wakati wa hafla ya chakula cha jioni mjini New York siku ya Alhamisi.

Huku zikiwa zimesalia takriban wiki mbili kabla ya uchaguzi wa Marekani kufanyika, joto la kisiasa lilieendelea kupanda na kupelekea hatua ya wagombea wakuu wawili, Hillary Clinton na Donald Trump, kuongeza idadi ya mikutano ya kampeni wanayohutubia kuliko ilivyokuwa hapo awali, hususan katika majimbo yenye ushindani mkubwa kisiasa.

Your browser doesn’t support HTML5

Uchaguzi wa pamba moto Marekani