Polisi wavamia mskiti wa Musa Mombasa
Kenya polisi washika zamu mbele ya Msiti Musa Mombasa
Vijana wamelazwa chini nje ya mskiti wa Musa Mombasa
Vijana wamelazwa ndani ya lori baada ya kuvamiwa na polisi kwenye Mskiti wa Musa Mombasa
Vijana karibu na Mskiti wa Musa Mombasa wakilalamika dhidi ya uvamizi wa polisi
Polisi wampiga kijana aliyeanguka chini mbele ya Msiti Musa Mombasa
Polisi wa wapandisha vijani ndani ya lori la idara ya usalama Mombasa