Polisi wapambana na waandamanaji katika mji mkuu wa DRC, Kinshasa

Your browser doesn’t support HTML5

Polisi wapambana na maandamano ya upinzani katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Kinshasa

Wakimbizi walalamika kuhamishwa kinyume na matakwa yao nchini Malawi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari