Maombolezi yafanyika kote Marekani kufuatia shambulizi la Carolina Kusini

Olina Ortega, kushoto, na Austin Gibbs wakiwasha mshuma mbele ya kanisa la Emanuel AME Church iloiyogeuka kuwa eneo la makumbusho la muda kufuatia mauwaji ya waumini weusi walouliwa na mzungu aliyekuwa na bunduki Jumatano mchana wakati wa sala ndani ya kanisa hilo la kihistoria la watu weusi huko Charleston, S.C., June 18, 2015.

Waombolezi wamekusanyika katika uwanja wa Marion Square kwa ajili ya ibada ya makumbusho kuwasha mishuma, Alhamis, June 18, 2015, karibu na kanisa la  Emanuel AME huko Charleston, S.C.

Kasisi Sandy Drayton, akiwa na jazba wakati wa dua ya maombolezi inayofanyika katika kanisa la Morris Brown AME mjini Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

Mtuhumiwa wa Charleston,  Dylann Storm Roof, wapili kutoka kushoto akichukuliwa na maafisa wa usalama baada ya kuwauwa waumini 9 katika kanisa la kihistoria la watu weusi, June 18, 2015.

Kasisi Richard Harkness akishikana mkono na Kasisi Jack Lewin (2ndR) wanapoimba wimbo wa "We Shall Overcome" mwishoni mwa sala ya makumbusho katika kanisa la Morris Brown AME, Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

U.S. Senator Tim Scott (C) bows his head in prayer during a prayer vigil held at Morris Brown AME Church in Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

Maafisa wawili wav polisi wakisimama mbele ya kanisa la Emanuel AME kufuatia shambulizio la Jumatano usiku Charleston, S.C., June 18, 2015.

Rosie Frederick wipes her eyes after saying a prayer, June 18, 2015 at a make-shift memorial near the Emanuel AME Church following a shooting Wednesday night in Charleston, S.C.

People applaud during a prayer vigil held at Morris Brown AME Church in Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

Marie Goff wipes tears from her eyes during prayer vigil held at Morris Brown AME Church, June 18, 2015 in Charleston, S.C.

Mourners hug after praying outside the Emanuel African Methodist Episcopal Church in Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

Mourners embrace outside Morris Brown AME Church before attending a vigil the day after a mass shooting in Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

Charleston Shooting

Mourners hold hands outside the Emanuel African Methodist Episcopal Church in Charleston, South Carolina, June 18, 2015.

Gary and Aurelia Washington, center left and right, the son and granddaughter of Ethel Lance who died in Wednesday's shooting, leave a sidewalk memorial in front of Emanuel AME Church comforted by fellow family members Thursday, June 18, 2015.