Balozi wa Marekani Christopher Stevens

French military personnel try to control supporters who are asking them to disarm fighting gangs, near the airport in Bangui, Central African Republic. France appealed to European partners for assistance in quelling months of religious violence in its former colony.

John Christopher Stevens, balozi mpya wa Marekani nchini  Libya, akisalimiana na mwenyekiti wa Baraza la Mpito la Kitaifa Libya (NTC) Mustafa Abdel Jalil (Kulia) baada ya kumkabidhi stakbadhi zake za uteuzi mjini Tripoli, June 7, 2012.

U.S. envoy Chris Stevens akizungumza na waandishi habari wa Libya katika hoteli ya Tibesty  (April 2011 file photo)

U.S. envoy Chris Stevens, katikati, akifuatana na mjumbe wa Uingereza Christopher Prentice, kushoto, akizungumza na diwani wa Misrata Dr. Suleiman Fortia, kulia, katika hoteli ya Tibesty Benghazi.

Wajumbe wa Uingereza na Marekani kwa wapinzani wa Libya Christopher Prentice (kushoto) na Chris Stevens wakihudhuria mkutano wa waandishi habari na kiongozi wa waasi Mustafa Abdul Jalil (hayumo kwenye picha) baada ya kukutana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika  katika ngome ya waasi Benghazi

US diplomatic envoy to rebel held Libya Chris Stevens (R), Britain's diplomatic representative Christopher Prentice (L) and deputy chairman of the TNC Abdul Hafiz Ghoqa (C) hold candles during a memorial service for slain photojournalists Tim Hetherington

Jengo la ubalozi mdogo wa Marekani mjini Benghazi mashariki ya Libya likiwaka moto

Ubalozi mdogo wa Marekani Benghazi Libya umeharibiwa na watu walokuwa na hasira.

Jengo la ubalozi wa Marekani Benghazi, Libya baada ya kushambuliwa