Viongozi wa UNHCR huko DRC wameiomba jumuiya ya kimataifa kupeleka misaada zaidi ama kudumisha amani.
Pande hasimu zaendeleza mapambano siku nzima Sudan
Your browser doesn’t support HTML5
Pande zinazopigana nchini Sudan zimepambana kwa siku nzima baada ya mazungumzo yanayolenga kuendeleza sitisho la mapigano kuvunjika.