Olimpiki ya aina yake yaanza kwa sherehe za ufunguzi bila ya watu kukaribiana
Fataki zimeshamiri katika Uwanja wa Mpira wakati wa ufunguzi wa tafrija ya Mashindano ya Olimpiki ya Majira ya Joto 2020, Ijumaa, Julai 23, 2021, Tokyo ((AP Photo/Shuji Kajiyama)
Fataki zikilipuka angani wakati wa ufunguzi wa tafrija ya Mashindano ya Olimpiki ya Majira ya Joto 2020, Ijumaa, Julai 23, 2021, Tokyo, Japan. (AP Photo/Patrick Semansky)
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 - Uwanja wa Olimpiki, Tokyo, Japan, Julai 23, 2021. Watumbuizaji wakionekana katika sherehe za ufunguzi. REUTERS/Marko Djurica
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 - Uwanja wa Olimpiki, Tokyo, Japan, Julai 23, 2021. Muimbaji akitumbuiza katika sherehe za ufunguzi. REUTERS/Lucy Nicholson
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 - Uwanja wa Olimpiki, Tokyo, Japan, Julai 23, 2021. Wabeba bendera Musa Bwogi na Kirabo Namutebi wa Uganda wakiongoza msafara wao katika gwaride la wanariadha wakati wa sherehe za ufunguzi REUTERS/Phil Noble
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 - Uwanja wa Olimpiki, Tokyo, Japan, Julai 23, 2021. Mbeba bendera Efrem wa Eritrea akiongoza msafara wao katika gwaride la wanariadha wakati wa sherehe za ufunguzi REUTERS/Kai Pfaffenbach
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 - Uwanja wa Olimpiki, Tokyo, Japan, Julai 23, 2021. Wanariadha kutoka Kenya wakionekana wakati wa sherehe za ufunguzi REUTERS/Marko Djurica
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 - Uwanja wa Olimpiki, Tokyo, Japan, Julai 23, 2021. Natalia Santos wa Angola akiongoza msafara wa wanariadha katika gwaride la sherehe za ufunguzi REUTERS/Mike Blake
Sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki Tokyo 2020 - Uwanja wa Olimpiki, Tokyo, Japan, Julai 23, 2021. Natalia Santos wa Angola akiongoza msafara wa wanariadha katika gwaride la sherehe za ufunguzi REUTERS/Hannah Mckay
Nadia Eke wa Ghana na Sulemanu Tetteh wa Ghana wakiongoza msafara wa wanariadha katika gwaride la sherehe za ufunguzi REUTERS/Mike Blake
Abdelmalik Muktar wa Ethiopia amebeba bendera ya nchi yake wakati wa sherehe za ufunguzi katika Uwanja wa Olimpiki katika Mashindano ya Olimpiki ya Majira ya Joto 2020 Ijumaa, Julai 23, 2021, Tokyo, Japan. (AP Photo/Patrick Semansky)
Mbeba bendera Robyn Young wa Eswatini akiongoza msafara wa wanariadha katika gwaride la sherehe za ufunguzi REUTERS/Kai Pfaffenbach