Katika Picha Novemba 3 Katika Picha 3 Novemba, 2015 Wahamiaji wamekusanyika wakitaka kuingia Austria kwenye lango la Slovania. Sanamu ya Liberty ikionekana kutoka angani mjini New York. Watu wakipiga picha na video za ndege ya kwanza ya kibiashara ya abiria C 919 ya China Afisa wa jeshi la anga la Marekani akifungua mlango wa ndege ya Rais wakati Rais Baraka Obama akiwasili kutoka New Jersey . Rangi ya majani yabadilika wakati majira ya baridi yanapoingia Ufaransa. Magari mapya aina ya Porsche yakiwa yameegeshwa karibu na kiwanda cha magari cha Porsche Ujerumani. Watu wakiomboleza na kuweka mauwa kufuatia ajali ya ndege ya Russia. Picha za dunia kutoka Novemba 3, 2015