Matukio katika Picha

Watu wamekusanyika katika uwanja wa Capitol Square hukoToulouse, kusini mwa France, kutoa heshima zao za mwisho dhidi ya mashambulizi ya kigaidi nchini humo.

Polisi wenye silaha wakiwa kwenye uwanjwa wembley Stadium in London, kabla ya mechi ya kirafiki ya soka kati ya England na France.

Mwanamke akipita chini ya bendera kwenda kwenye mnara wa national mall Marekani kutoa heshima za mwiso dhidi ya mashambulizi ya ufaransa.

Smoke rises behind an apartment complex that has been leveled by flames as a wildfire ravages Ventura, California.

Barafu ikiwa imetanda katika katika mlima wa pili kwa urefu New England, kaskazini mwa New Hampshire, USA.

Mnyama aina ya Panda mwenye miezi mitatu akionyeshwa huko Kuala Lumpur, Malaysia.

Abiria akishuka kwenye boti KM Wihan Sejahtera as wakati ikizama huko Surabaya

muungaji mkono wa upinzani akirusha jiwe kwa polisi kwenye jengo la bunge la Kosovo

Wa- Hindu wakifanya sala kuabudu Jua

Wapenzi wa mashindano ya World Cup 2018 wa Hong Kong wakionesha ishara za kusherehekea

wanaume wawili wakiendesha mtumbwi kwenye mto Yenisei, Russia