Endelea kusikiliza sehemu ya nne ya repoti hii ambayo inaangazia masuala ya makubaliano yaliyofikiwa katika maeneo mawili kati ya nchi hizo. Endelea kusikiliza repoti kamili...
Nini kilichosababisha miraa kuleta tija kwa wakulima na wafanyabiashara?
Your browser doesn’t support HTML5
Biashara ya miraa inaelezwa kuwa imeanza kuleta tija kwa wafanyabiashara na wakulima. Hii ni kufuatia mkutano wa viongozi wa Kenya na Somalia waliokutana 2022 katika Ikulu ya Nariobi ambao ulizaa matunda.