6.0-ukubwa tetemeko sababu ya Uharibifu California Bay Area.
Andrew Brooks, mtengeneza mvinyo wa Bouchaine vineyards akikagua mapipa ya mvinyo baada ya tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.0 katika vipimo vya rikta huko Napa, California, Agosti 24, 2014.
Grace Hardy akisafisha chupa za mvinyo, zilizovunjka huko Napa ,California ,kufuatia tetemeko la ardhi, Agosti 24 2014.
Watembea kwa miguu wakikagua jengo liloloanguka katika chumba cha kujaribia mvinyo huko Napa California kufuatia tetemeko la ardhi Agosti. 24, 2014.
Barabara ya lami ikiwa imeharibika huko Napa, California, Agosti. 24, 2014.
Gari limeangukiwa na paa katika sehemu ya maegesho huko Napa, California, Agosti. 24, 2014.
Sanamu ya Bacchus, mungu wa kirumi ya mvinyo ikiwa imeanguka ndani ya eneo la kuonja mvinyo la ceja vineyards baada ya tetemeko la ardhi katika Napa, California, Agosti. 24, 2014.
Nina Quidit akisafisha duka lake huko American Canyon, california baada ya tetemeko la ardhi Agosti 24, 2014.
Mtu akipiga picha ya uharibifu wa ofisi baada ya tetemeko la ardhi huko Napa, California, Agosti. 24, 2014.
Mwandishi akfanya utafiti wa jengo moja lililoanguka kufuatia tetemeko la ardhi huko Napa, California, Agosti. 24, 2014.
Watu wanaangalia jengo lililoharibiwa kwenye kona ya juu kufuatia tetemeko la ardhi huko Napa, California, Agosti 24, 2014.
Jean Meehan akiangalia uharibifu katika duka lake baada ya tetemeko la ardhi huko Napa, California, Agosti. 24, 2014.
Watu wakipita mbele ya sanamu iliyoanguka na kuvunjika mbele ya duka kufuatia tetemeko la ardhi huko Napa, California, Agosti. 24, 2014.
Matofali yakiwa bara barani baada ya jengo kuharibiwa wakati wa tetemeko la ardhi huko Napa, California, Jumapili, Agosti. 24, 2014.