New York : Rais Samia apokelewa na Watanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili New York, Marekani Jumapili kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Alipowasili alipokelewa na Watanzania wanaoishi Marekani.