Ndege ya mizigo iliyobeba mahema, vifaa vya afya, na misaada mingine ya kibinadamu ilitua siku ya Ijumaa katika mji wa mashariki wa Goma huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Ndege ya misaada kutoka EU yawasili nchini DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Wakati mapigano kati ya jeshi la Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 yakiendelea, msaada wa Umoja wa Ulaya wawasili nchini.