Nchi zinazopakana na Russia zapata wasiwasi kufuatia vurugu za kundi la Wagner
Your browser doesn’t support HTML5
Kiongozi wa kundi la mamluki la Wagner anadaiwa kukimbilia Belarus kufuatia hatua ya kuachana na uasi wake aliyoutangaza awali. Vurugu nchini Russia zinazifanya nchi zinazopakana nazo za Warsaw kuwa na wasiwasi. Sikiliza taarifa kamili...