Mohamed : Kwa upande wangu mimi ninaona uhuru wa vyombo vya habari kwa Tanzania upo sisi kama wanahabari na watu wanao jihusisha na habari tunautendea vizuri.
Mwanafunzi asema uhuru wa vyombo vya habari upo nchini Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Nura Mohamedi mwanafunzi anayesomea uandishi wa habari kutoka chuo cha habari DSJ kilicho Ilala Dar es Salaam amesema kila nchi inasheria zake na taratibu ambazo imejiwekea, hivyo nchiniTanzania uhuru wa vyombo vya habari unaridhisha.