Mwanafunzi: Sheria ya uhuru wa vyombo vya habari Tanzania inahitaji maboresho

Your browser doesn’t support HTML5

Steven Leonard mwanafunzi anayesomea uandishi wa habari kutoka  chuo cha habari DSJ kilicho Dar es Salaam amesema Tanzania bado haijawa na uhuru wenye kuridhisha wakuvifanya vyombo vya habari kufanya kazi bila ya wasiwasi.

#voapressfreedom #pressfreedom #freedomofthepress