Mwanafamilia aeleza baba yake alivyouawa katika shambulizi la kigaidi nchini Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Mmoja wa wanafamilia ambaye alimpoteza baba yake katika shambulizi la kigaidi nchini Tanzania akieleza jinsi mzazi wake alivyofariki kutokana na mlipuko wa bomu.

Ungana na mwandishi wetu wa Tanzania akikuletea maelezo ya kumbukumbu ya shambulizi hilo iliyofanyika katika ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Endelea kusikiliza...