Habari Mugahywa asema elimu ya bure inawezekana Tanzania 1 Oktoba, 2010 Abdushakur Aboud Mutamwega Mugahywa (kushoto) mgombea kiti cha rais kwa niaba ya chama cha TLP akichukua fomu za kushiriki katika uchaguzi wa rais.