April tulizungumza na mmoja wa wanachama wa Waafrika wanaoishi ughaibuni ambaye pia anafikiria kutopiga kura. Jeff Swicord hivi karibu alimtembelea tena kuona kama ugombea wa Kamala Harris umemfanya afikirie tena uamuzi wake. Mkamiti Kibayasi anaisoma ripoti kamili.
Mpiga kura wa Diaspora atoa maoni yake baada ya Kamala Harris kuingia katika kinyang'anyiro
Your browser doesn’t support HTML5
Kabla ya Kamala Harris kuingia katika kinyang’anyiro cha urais ukusanyaji maoni umeonyesha kuwa karibu nusu ya wapiga kura hawakuwa wanafurahishwa na wote Rais Biden na Rais wa zamani Trump.