Pia utaweza kusikia fikra za Mmarekani mwengine huko Somalia kuhusu Marekani kuwekeza zaidi katika bara la Afrika. Pia utaweza kujua uhusiano ulioko kati ya Marekani na Somalia kupitia maelezo ya Balozi wa Marekani nchini Somalia. Ungana na mwandishi VOA akikuletea taarifa kamili. Endelea kusikiliza...
Mmarekani aeleza upigaji kura kwa raia walioko nje ya Marekani usivyokuwa na matatizo
Your browser doesn’t support HTML5
Kiongozi wa jumuiya ya Wasomali walio na mahusiano Marekani, shirika ambalo linakuza uhusiano kati ya Wamarekani wenye asili ya Kisomali na Somalia.