Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Mkutano wa viongozi wa Marekani na Afrika: Biden asisitiza ataimarisha uhusiano na Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Marekani Joe Biden wakati anafungua mkutano wa siku tatu wa viongozi wa Marekani na nchi takriban 50 za Afrika mjini Washington, DC amesisitiza anataka kufufua uhusiano wake na nchi hizo.