Odinga awataka wafuasi wa Nasa kutopiga kura

Wafuasi wa Muungano wa Upinzani (NASA) wakishiriki katika mkutano huko Uhuru Park, Nairobi nchini Kenya.

Viongozi wa ngazi ya juu wa Muungano wa Upinzani wa NASA akiwemo Mwenyekiti Raila Odinga

Raila Odinga akiwahutubia wafuasi wa chama chake cha Muungano wa Upinzani (NASA) katika mkutano huko Uhuru Park, Nairobi nchini Kenya.

Wafuasi wa Muungano wa upinzani (Nasa) wakiwa Uhuru Park, Nairobi, Kenya.