Mkimbizi aliyenusurika aeleza maafa yaliyomfika na familia yake Somalia

Your browser doesn’t support HTML5

Mkimbizi aeleza shida na misukosuko aliyokutana nayo wakati alipokuwa anaishi Somalia na namna alivyompoteza mumewe na yeye alivyopigwa risasi na wanamgambo wa al-Shabaab.

Hata hivyo anaendelea kuishi na ulemavu. Sikiliza safari ya mwanamama ambaye anaeleza matatizo aliyokutana nayo hadi kufika kambi ya Daadab Kenya. Endelea kumsikiliza.