Mjadala waendelea Tanzania kuhusu serikali kuendelea kukopa

Your browser doesn’t support HTML5

Mjadala mkubwa unaendelea nchini Tanzania juu ya uamuzi wa serikali ya Rais Samia Suluhu kuzungumzia umuhimu wa taifa hilo kukopa ili kuimarisha maendeleo katika sekta mbalimbali.