Wahamiaji kutoka Afrika wawasili Itali
Wahamiaji wakishuka kutoka meli ya “Rio Segura” huko Pozzallo, Sicily, Italy.
Wahamiaji walookolewa wako ndani ya meli ya “Rio Segura” huko Pozzallo.
Wahamiaji wasubiri kushuka kutoka meli ya Hispania iliyowaokowa kutoka bahari ya Mediterranean, walipowasili Pozzallo.
Walinzi wa raia ndani ya meli ya “Rio Segura” mjini Pozzallo.
Manwari ya Uingereza "Enterprise" ikityia n'ganga katika bandari ya Catania, Sicily, baada ya kuwaokowa zaidi ya wahamiaji 650 wengi raia wa Eritrea.
Italian policemen wearing masks as they are processing migrants in Catania.
Migrants receive food from Red Cross workers in Catania.
Migrants treated by Red Cross workers in Catania.
A Norwegian military is watching the migrants disembarking the boat in Messina, Sicily, Italy.
Eritrean migrants disembarking from the “Siem Pilot” in Messina.
Eritrean migrants arrive in Messina.
Migrants disembarking in Messina.
Memorial in Pozzallo: a tribute to those who died trying to cross the Mediterranean Sea.