Boti ya wahamiaji yazama katika ufukwe wa Lampedusa, Italy
Wahamiaji waliokolewa wakiwasili na boti katika ufukwe wa Lampedusa.
Mwanamke akipata msaada katika hospitali ya Palermo Civico baada ya kuokolewa katika kisiwa cha Lampedusa nchini Italy.
Miili ya wahamiaji waliozama ikiwa katika bandari ya Lampedusa.
Miili ya wahamiaji ikiwa imelazwa katika bandari ya Lampedusa.
Miili ya wahamiaji waliokuwa wamezama ikiwa inatolewa kwenye boti katika bandari ya Lampedusa.
Watu walionusurika katika boti iliyozama wakisafirishwa na boti ya ulizni wa majini ya Italia na kuwasili katika bandari ya Lampedusa.
Watu walionusurika katika boti iliyozama wakiwasili na boti ya ulinzi wa majini katika bandari ya Lampedusa.