Michuano ya Olymipiki Japan kufanyika kama ilivyopangwa
Your browser doesn’t support HTML5
Waziri Mkuu wa Japan amesema michuano ya Olympiki iliyopangwa kufunguliwa Julai 23, 2021 itaendelea huku rais wa kamati ya Olympiki ya kimataifa IOC na waandaaji wa eneo hilo wakikanusha kuwa michuano hiyo iliyoahirishwa itafutwa