Mfumo wa uchaguzi wa Marekani unategemea kura za wajumbe hutumika kumpa ushindi rais

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kila chama kumteua mteule wa kuwania urais, mteule huyo kimkakati humchagua mgombea mwenza kwa ajili ya uchaguzi mkuu.

Timu huanza kazi kwa bidii kwa kampeni ya matayarisho kwa ajili ya siku ya mwisho ya upigaji kura hapo Novemba 5, Jumanne ya kwanza ya mwezi Novemba.

Siku ya uchaguzi, wapiga waliojiandikisha wanakwenda katika vituo vya kupigia kura kumchagua mgombea uraia wa chama chao.

Rais kimsingi ataamuliwa na mfumo maarufu unaoitwa kura wa wajumbe.

Kura za wajumbe inaundwa wa wawakillishi, au wapiga kura, ambao wametengwa kulinga na matokeo ya kupiga kura katika kila jimbo. Majimbo yenye idadi kubwa ya watu wana wapiga kura wengi zaid. Majimbo yenye idadi ndogo ya watu yana wapiga kura wachache.

Kushinda urais, mgombea lazima apate wingi wa kura za wajumbe kiasi the kura 270..

Wapiga kura halafu wanapiga kura zao mwezi mmoja baadaye. Lakini rais mpya hachukui madaraka mpaka atakapoapishwa mwishoni mwa mwezi Januari.