Matumizi ya nguvu kupita kiasi na idara ya usalama Kenya yaathiri watoto

Your browser doesn’t support HTML5

Matumizi ya nguvu kupita kiasi na idara ya usalama ya Kenya yameathiri kwa kiasi kikubwa watoto waliokuwa nyumbani wakati wa maandamano ya upinzani.

Nchi za Afrika zimetakiwa kuweka mikakati ya kukuza rasilimali watu kama kichocheo cha uchumi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari