Matukio muhimu Jumapili Agosti 29, 2021
wanajeshi wa jeshi la majini wakihamisha maiiti ya mwanamaji Maxton W. Soviak, 22, of Berlin Heights, Ohio, uliporejeshwa Marekani. Sunday, Aug. 29, 2021 (AP Photo/Manuel Balce Ceneta)
Rais Joe Biden atoa heshima pamoja na mkewe Jill Biden walipowasili uwanja wa jeshi la Anga mjini Dover, Delaware, kupokea miili ya wanajeshi 13 walouliwa Kabul Afghanistan. Sunday, Aug. 29, 2021. (AP Photo/Manuel Balce Ceneta)
U.S. President Joe Biden salutes during the dignified transfer of the remains of U.S. Military service members who were killed by a suicide bombing at the Hamid Karzai International Airport, at Dover Air Force Base in Dover, Delaware, U.S., August 29, 202
waandishi habari wa Afghanistan wapiga picha gari lililoharibiwa ndani ya nyumba na kombora lililofyetuliwa na ndege isiyo na rubani ya Marekani karibu na uwanja wa ndege wa Kabul Afghanistan, Sunday, Aug. 29, 2021.
Rais Emmanuel Macron akiutembelea mji wa Mosul, Irak akiahidi tena kupambana na ugaidi Mashariki ya Kati.
Waandishi habari waripoti karibu na Ziwa Pontchartrain kabla ya kuwasili kwa kimbunga kikubwa cha IDA mjini New Orleans, Sunday, Aug. 29, 2021. (AP Photo/Gerald Herbert)
Waandamanaji wanaoipinga serikali wakimbia baada ya polisi kuwafyetulia maji ya rangi ya zambarau na gesi ya kutoa machozi walipokua wanalalamika katika wilaya ya Din Daeng ya mji mkuu wa Bangkok dhidi ya namna serikali inavyokabiliana na ugonjwa wa COVID-19. August 29, 2021.