Mateka wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Hamas wanaweza kuachiliwa karibuni

Your browser doesn’t support HTML5

Mateka wanaoshikiliwa na wanamgambo wa Hamas katika Ukanda wa Gaza wanaweza kuachiliwa karibuni katika makubaliano yanayo karibiwa kufikiwa.

Maafisa mjini Harare nchini Zimbabwe wapewa onyo la kusafisha mitaa wakati raia wakipambana na kusambaa kwa mlipuko wa kipindupindu.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari