Marekani yaunga mkono hatua ya Afrika kuwa na viti viwili vya kudumu katika baraza la Usalama na UN

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la Wikiendi linaangazia mchakato unaendelea ndani ya Umoja wa Mataifa wa kulifanya bara za Afrika kuwa na viti viwili vya kudumu ndani ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Je, hatua hii italeta mabadiliko gani katika masuala ya usalama ndani ya bara la Afrika?