Katika tahadhari ya usalama, ubalozi umesema maandamano yanayohusiana na uchaguzi yanaweza kutokea katika mji huo wa magharibi na wakati mwingine yanaweza kubadilika na kuwa ghasia.
Marekani yaonya raia kutosafiri kwenda mji wa Kisumu
Your browser doesn’t support HTML5
Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umewaonya raia wake kutosafiri kwenda mji wa Kisumu kabla ya uchaguzi mkuu wiki ijayo.