Ungana na mwandishi wetu akikuletea uchambuzi wa ruzuku hiyo kwa familia zinazostahiki au kaya zenye uhitaji. Endelea kusikiliza...
Marekani yaimarisha matumizi ya mtandao wa Intaneti kwa kutoa ruzuku vijijini
Your browser doesn’t support HTML5
Serikali ya Marekani hutoa ruzuku kwa kaya zenye uhitaji kuweza kujiunganisha na intaneti yenye kasi katika maeneo ya vijijini. Mpango huu ambao ni wa gharama nafuu kwa wateja wa kipato cha chini ulizinduliwa tangu mwaka 2021.