Marekani, Uingereza na washirika wa kimataifa wazindua mpango mpya wa usalama kwa Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Marekani, Uingereza na washirika wa kimataifa wamezindua mpango mpya wa usalama kwa Ukraine katika mkutano wa NATO.

Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametaja maandamano yaliyofanyika katika baadhi ya sehemu nchini Kenya ni ishara ya utawala wa rais William Ruto haujawaridhisha Wakenya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari