Mapigano yanaendelea kati ya Jeshi la DRC na waasi wa M23

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano yanaendelea Rutshuru nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, kati ya waasi wa M23 na jeshi la serikali karibu na Mpaka wa Uganda na DRC pembeni ya mbuga ya wanyamapori ya Virunga.

- Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameyasihi makundi yenye silaha mashariki mwa DRC kuweka silaha zao chini na kufanya kazi na serikali katika kutafuta amani na uthabiti.