Mapigano kati ya wanamgambo wa Sudan na Jeshi yaendelea
Mkuu wa Majeshi ya Sudan Abdel Fattah al-Burhan (L) na Kamanda wa kikosi cha usaidizi wa haraka cha wanamgambo RSF.Jenerali Mohamed Hamdan Dagalo (Hemedti) (R). Mapigano yamerindima kwa siku ya pili nchini Sudan April 16 baada ya mapambano makali kati ya majenerali mahasimu yaliyouwa darzeni ya watu na kujeruhi takriban watu 600, na kuibua waswasi wa kimataifa. (AFP)
Gari la kijeshi na wanajeshi kadhaa wanaoelezwa kuwa ni wa jeshi la ulinzi la Sudan wakionekana mitaani huko Khartoum, Sudan.(Reuters).
This picture taken on April 16, 2023, shows Sudanese army soldiers, loyal to army chief Abdel Fattah al-Burhan, posing for a picture at the Rapid Support Forces (RSF) base in the Red Sea city of Port Sudan. (AFP)
Moshi mzito ukitanda kutoka katika lami ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Khartoum wakati moto ukiwaka huko Khartoum, Sudan (Reuters).
Picha za Satellite zikionyesha moshi na mandhari ya jumla ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Khartoum, Sudan. (Reuters).
Sudanese greet army soldiers, loyal to army chief Abdel Fattah al-Burhan in the Red Sea city of Port Sudan on April 16, 2023. (AFP)
Wasudan wakiwasalimia wanajeshi, ambao wanamuunga mkono Mkuu wa Jeshi Abdel Fattah al-Burhan katika mji wa Red Sea wa Port Sudan Aprili 16, 2023. (AFP)
Smoke billows above residential buildings in Khartoum on April 16, 2023,
Moshi ukiwa umetanda katika majengo ya makazi ya watu huko Khartoum Aprili 16, 2023. AFP
Watu wakitembea katika daraja la Halfaya Bridge wakati mapigano yakiendelea. Khartoum Kaskazini, Sudan April 15, 2023. (Reuters)