Mandela atimiza miaka 95
Mjukuu wa Nelson Mandela Zondwa Mandela akigawa vifurushi vya chakula wakati watu wanasherehekea miaka 95 ya kuzaliwa Mandela kwa dakika 67 za huduma za umma kuadhimisha miaka 67 ambayo Mandela katika huduma ya umma huko Mamelodi nje kidogo ya Pretoria July 18, 2013.
Mjukuu mwingine wa Nelson Mandela Ndileka (kulia) akitoa supu kwa wananchi Pretoria July 18, 2013.
Watoto wakiwa wameshikilia mabango walipokusanyika kumtakia Nelson Mandela siku njema ya kuzaliwa huko Atteridgeville, karibu na Pretoria, July 18, 2013.
Mchoro wa Mandela katika moja ya dirisha la mjini Cape Town, South Africa, July 18, 2013.
Kundi la watoto wakiimba Happy Birthday nje ya hospitali aliyolazwa Mandela July 18, 2013.
Član porodice Šabat na mestu svoje kuće porušene tokom izraelskih vazdušnih napada na mesto Beit Hanun u severnom delu Pojasa Gaze.
Bango la picha za Nelson Mandela katika hospitali ya Mediclinic Heart, South Africa, July 18, 2013.
Watoto wa shule wakiimba happy birthday kwa Mandela nje ya nyumba yake huko Houghton, Johannesburg, July 18, 2013.
Mwananchi akiomba miongoni mwa watu waliojitokeza kumtakia Mandela siku njema ya kuzaliwa nje ya hospitali aliyolazwa.
Wanachama wa tawi la vijana la chama tawala wakiimba nje ya hospitali.
Mwananchi akiwasha mshumaa ndani ya kanisa la St. George’s Cathedral huko Cape Town, South Africa, July 17, 2013.
Mwananchi akipiga picha, picha ya Mandela katika maonyesho ya maisha yake mjini Pretoria, South Africa, July 17, 2013.