Makamu wa Rais wa Marekani afanya mazungumzo na Rais wa Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wamefanya mazungumzo ya faragha kabla ya kukutana na waandishi wa habari.

Makamu wa Rais ameeleza kuwa wamekubaliana kuongeza ushirikiana katika maeneo kadhaa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili.