Mahakama Kenya yasimamisha mchakato wa kutaka kumuondoa naibu rais

Your browser doesn’t support HTML5

Mahakama ya Kenya yasimamisha mchakato wa kutaka kumuondoa naibu rais Oktoba 24 , 2024.

Rais wa Marekani Joe Biden yuko Ujerumani kukutana na viongozi mbalimbali ambapo moja ya ajenda ni vita vya Russia na Ukraine.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari