Mafuriko makubwa yaukumba mji wa Mombasa na kuleta taharuki

Your browser doesn’t support HTML5

Mafuriko makubwa yaukumba mji wa Mombasa, pwani ya Kenya huku maji yakiwa yamefurika katika makazi ya watu, watu wakitatizika kupata usafiri.

Israel yaamrisha Wapalestina kuondoka miji minne iliyoko kusini mwa Gaza ikiwa ishara ya kuongeza mashambulizi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari