Mafuriko makubwa Dar es Salaam
Wakazi wajaribu kuvuka barabara iliyofurika kwa maji ya mvua
magari makubwa yanayoweza kupita mitaani licha ya mafuriko huko Dar es Salaam
Mafuriko katika mabondeni Dar es Salaam
Gari limekwama njiani kutokna na mafuriko Dar es Salaam
Barabara iliyofurika kwa maji kutokana na mvua nyingi Dar es Salaam
Mkazi afikiria mahala ya kwenda baada ya kuokoa vitu vyake
wakazi wawili wajaribu kuokoa mali zao kufuatia mafuriko dar Es Salaam
Kiwango cha mafuriko katika jiji la Dar es Salaam kutokana na mvua nyingi