Uchimbaji dhahabu unaongezeka Karamoja Uganda

Mchimbaji anatumia chuma kuchimba mchanga, ambao atakusanya na kuchanganya na maji na kung'uta ili kupata dhahabu, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

Familia ya Livinstone Ekiru iliwahi kuwa na mifugo mingi kabisa, lakini hivi sasa anajaribu kukidhi mahitaji ya maisha kwa kutafuta dhahabu,March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

A Mtu na mkewe ndani ya shimo walochimba kwa mikono yao huko Karamoja, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

Wachimba mgodi wawili wakiyenyeji wachimba shimo katika eneo la mto ulokauka huko Karamoja, Uganda, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

Water pipes laid by a large mining company conducting exploration in Karamoja, Uganda, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

Kimila wakarimojong ni wafugaji wanaozurura kwa sehemu ndogo, lakini mifugo yao inatoweka kwa haraka na hivyo kuwalazimisha watu kuanza uchimbaji, March 2, 2014. (Hilary Heuler for

Kichembe cha dhahabu ambacho mchimbaji wa kienyeji amekigundua kwenye ukingo wa mto, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

Mwanamke mkarimajong ana kung'uta mchanga ndani ya karai mbili za plastiki kutafuta dhahabu, March 2, 2014. Hilary Heuler / VOA News

The Karimojong are traditionally semi-nomadic pastoralists, but drought and disease have taken a toll on their herds, March 2, 2014. (Hilary Heuler for VOA)

Simon Nangiro, mkuu wa chama cha wachimbaji wa Karamoja, ndani ya ofisi yake huko Moroto, Uganda, March 3, 2014. (Hilary Heuler for VOA)