Kwa nini sera na mikakati ya ukusanyaji kodi Afrika Mashariki yakataliwa?

Your browser doesn’t support HTML5

Kenya imeshuhudia maandamano kupinga mapendekezo ya serikali ya ukusanyaji kodi na kumlazimisha Rais William Ruro kuuondoa mswaada huo. Wakati Tanzania wafanyabiashara waligoma kwa kufunga maduka wakilalamikia ongezeko la kodi na kutaka baadhi ya kodi kuondolewa na kiwango cha faini kupunguzwa.